Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 60
Sehemu gani, kitunda, ghorofa la Mwarabu, mnarani, Bunju bujumbula, kwa mama mnuo, hebu funguka tujue panapouzwa
Mkuu ile mita kubwa ya kupimia inauzwa elfu 10 tu, unashindwaje kununua ukakipima hicho kiwanja ukaja na vipimo vya kueleweka? Sasa hiyo miguu tutajua ni miguu ya Hashim Thabiti au Tausi?
Si kweli kabisa, niliwahi kupima kiwanja cha miguu 20 nikapata mita 16miguu 20 ni wastani wa mita 20 ingawa mita imezidi ukubwa kidogo kipimo cha miguu kiko maarufu tu kwa dsm
Wewe unataka kutuletea vurugu tu.Mkuu ile mita kubwa ya kupimia inauzwa elfu 10 tu, unashindwaje kununua ukakipima hicho kiwanja ukaja na vipimo vya kueleweka? Sasa hiyo miguu tutajua ni miguu ya Hashim Thabiti au Tausi?
Mteja kupata taarifa kamili kuhusu bidhaa ni haki yake. Kwa sababu natafuta kiwanja ndo unataka kila kiwanja kitakachowekwa humu nikifungie safari nikakipime wakati muuzaji angeweza kurahisisha. Udalali pia ni professional jaribu kuboresha kazi yakoWewe unataka kutuletea vurugu tu.
Kama ni Mnunuzi wa kweli tafuta hiyo mita yako Nenda nae ukaone Mali na kupima hapo hapo wewe mwenyewe, Biashara ifanyike.
Hata akikuambia mita fulani kwa kasumba zanu wengine utauliza:' mita za China au India? '
Mteja kupata taarifa kamili kuhusu bidhaa ni haki yake. Kwa sababu natafuta kiwanja ndo unataka kila kiwanja kitakachowekwa humu nikifungie safari nikakipime wakati muuzaji angeweza kurahisisha. Udalali pia ni professional jaribu kuboresha kazi yako[/QUOTE