Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
Kiwanja kinauzwa Madale dakika tano kutoka kwa Kawawa milion kumi kina ukubwa wa 45x20
Hakijapmwa bt kmeshafanyiwa survey umeme kmelipiwa bado kuwekwa nguzoKinasifa gani? Kama vile barabara, umeme,kimepimwa na je kipo flat au ni mwinuko,kipo karibu na korongo la kupitisha maji, umbali gani kutoka kituo cha daladala.
Hizo ni mita au miguu, na huo umbali wa dakika tano ni kwa gari au miguu.
Ni kweli mkuu...mimi ndye mmlki na ni mfanyakaz wa serkali kwa dar hm ni bahar beach uktaka kupajua haina shda na kipo smart mjumbe ni mmoja ya wasmamiz wangu na uzur ninachouza ni sehemu ya eneo mnunuzi atabak kua jiran yangu kpo safi na majran wapo npo nje ya dar so kama unakiitaji nakupa namba ya msmamiz unaenda kukiona au unaniambiaHuko madale kunamatapeli sana. mwezi uliopita walitaka kuniibia niliona tangazo kama hivi nikawasiliana na jamaa. akanionesha kiwanja na document za serikali ya mataa. Siku ya kwenda kulipana nikawahi hasubuhi nikaenda serikali ya mtaa tukafanya utafiti wa kuuliza majirani nani mmiliki wa eneo husika tukaambiwa la dr. fulani wa mlimani. Jamaa alivyo kuja nikamwambia nipo serikali ya mtaa hakufurahi bse alikuwa ametafuta makanjanja wake wanao jidai viongozi wa serikali ya mtaa. Basi jamaa wakaingia mtini baada ya kugundua nimewagundua. Tulikuwa tumeweka mgambo standby wakifika tuu tunawaweka chini ya ulinzi.