Kipo kiwanja kinauzwa KIBAHA KWA MATHIAS.Umbali wa mita 200 hivi toka stend barabara kuu.Ukubwa wake ni 30 kwa 40. Kuna bara bara ya gari mpaka kiwanja kilipo.Kiwanja kimezungukwa na miundo mbinu ya maji na umeme na kipo eneo tambalale kwenye udongo usiotuamisha maji. Ila bei yake ni 17 MILLIONI na hakina dalali.Kazi ni kwako...!
kipo 35 kwa 25,ndugu zangu mwenye kijisehemu chenye vipimo hivyo hapo juu nakihitaji ..kama poa npm tukutane
20 kwa 20, vipo karibu na barabara bei vinaenda kwa 5 m.ndugu zangu mwenye kijisehemu chenye vipimo hivyo hapo juu nakihitaji ..kama poa npm tukutane