Kiwango cha ufaulu kidato cha nne chaporomoka

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Je sababu za kushuka kwa kiwango cha ufaulu wa kidato cha nne hazijulikani? Na ni kwa nini shule za seriakli kila mwaka zinashika mkia? Shule za dini na za watu binafsi kila mwaka inafanya vizuri, sababu ni zipi? Nashindwa kupata jibu . Hii ina maana shule za serikali hazina walimu wenye ujuzi wa kufundisha au serikali inashindwa kuwalipa mishahara walimu wao sawa na walimu wa shule binafsi, au tatizao ni nini? Serikali sasa inabidi iwe na mdahalo na wamiliki wa shule binafsi ili kujua modalities za wao kufaulisha kwa kiwango cha juu na kuziacha shule za serikali zikiwa za mwisho kila mwaka.
 
Back
Top Bottom