Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,069 Jul 1, 2009 #1 Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL
Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,557 Reaction score 2,538 Jul 3, 2009 #2 Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia?
E Euler New Member Joined Jun 3, 2009 Posts 3 Reaction score 0 Jul 3, 2009 #3 Kibunango said: Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia? Click to expand... Kuna nchi zaidi ya tatu east Africa.
Kibunango said: Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia? Click to expand... Kuna nchi zaidi ya tatu east Africa.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,121 Reaction score 165,987 Jul 3, 2009 #4 Geoff said: Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL Click to expand... tunaomba sorce mzee... nataka niangalie kama wahindi tumewazidi au bado wanatutesa hadi kwenye soka.
Geoff said: Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL Click to expand... tunaomba sorce mzee... nataka niangalie kama wahindi tumewazidi au bado wanatutesa hadi kwenye soka.