HEbu tuache bana.Kila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana.
1. Jana nilikua napita ktk njia za watembea kwa miguu ambazo zimejengwa chini ya miezi miwili, njia yote ina mabonde mabonde.
2. Capstone nyingi zineshamegeka megeka ktk kona zake.
3. Viguzo ktk vivuko nyingi zineguswa zimeshaanguka.
Wahusika wachukue hatua kabla ya mkandarasi hajatoka site.
Hatujachelewa.
Tupo busy na DP worldKila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana.
1. Jana nilikua napita ktk njia za watembea kwa miguu ambazo zimejengwa chini ya miezi miwili, njia yote ina mabonde mabonde.
2. Capstone nyingi zineshamegeka megeka ktk kona zake.
3. Viguzo ktk vivuko nyingi zineguswa zimeshaanguka.
Wahusika wachukue hatua kabla ya mkandarasi hajatoka site.
Hatujachelewa.
Cheap is expensive,Jiwe mara nyingi alikuwa analazimisha bei ndogo nk.Kila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana.
1. Jana nilikua napita ktk njia za watembea kwa miguu ambazo zimejengwa chini ya miezi miwili, njia yote ina mabonde mabonde.
2. Capstone nyingi zineshamegeka megeka ktk kona zake.
3. Viguzo ktk vivuko nyingi zineguswa zimeshaanguka.
Wahusika wachukue hatua kabla ya mkandarasi hajatoka site.
Hatujachelewa.
Bandari ya Dar es salaam ,Uwanja wa Taifa ,Chuo kikuu Duce,Chuo cha veta,Soko kubwa Mbagala rangi tatu,Bank nyingi pale rangi tatu,Stendi ya Mabasi yanayokwenda mikoa ya kusini,Uhamiaji ofisi,zote hizo inatumika kilwa road na Chang'ombe road uelekeo wa Mbagala na ndiyo vitu muhimu kwa Taifa.Au unalo la kuongezaUkiacha hiyo barabara kuna kitu gani cha nasna huko mbagala unachoweza kulinganisha na wilaya ya kinondoni au ubungo
Kila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana.
1. Jana nilikwua napita ktk njia za watembea kwa miguu ambazo zimejengwa chini ya miezi miwili, njia yote ina mabonde mabonde.
2. Capstone nyingi zineshamegeka megeka ktk kona zake.
3. Viguzo ktk vivuko nyingi zineguswa zimeshaanguka.
Wahusika wachukue hatua kabla ya mkandarasi hajatoka site.
Hatujachelewa.
Mbagala huwa hawana noma hao. Si ndiyo kule walipojengewa ile barabara ya Kilwa road badala ya kuwawekea lami wakawawekea big g?Kila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana.