Kiwanda kinauzwa

Nitafuyeni kwenye number hio apo juu kwa maongezi zaidi .tunaweza pia tukaingia ubia
 
ungemshirikisha na mheshimiwa rais, kama kweli angekuruhusu kuuza kiwanda
Ni kiwanda cha Mifuko kinachoweza kutoa sheet,nylon plastic bag pia kinatoa rollers za miche(orders za kupandia miche) kwa bei poa kabisa ya sh m70 kiwanda kipo Tanga,pia kiwanda hiki kimeambatana Na Mashine zifuatazo.Extuder,bag making,recycle Machine,crasher,cutter machine,drying machine. Zote zimondani ya hio bei.unaweza kuwasiliana nami kupitia no.0675226757
fde21ee739912bf601339966e1d12056.jpg
80a3265f11e5a5cd468b0d54504c2400.jpg
2b123995acde477da2586904b923d0ba.jpg
8dff89dbffc7de2ed077e27c554a639c.jpg
de870d6ba77b95fae8901bb51fb29f73.jpg
34a9dbd3cda3b492bf89876c906da619.jpg
 
Tafuteni Mteja Labda Congo Tanzania Wanapiga Marufuku Plastics
 
Asante Mkuu
Ila Zanzibar kwetu huku hatutumii mifuko hiyo miaka Mingi tangu ipigwe marufuku.
Ni bora ukamatwe na Unga kuliko mifuko ya plastic.

Ila hongera kwa ujasiriamali,ila najua hapo ukaguzi haukufanyika,maana naona jengo limekatika kwa mshindo
 
Mkuu hilo jengo zilizomo hizo mashine lina ukubwa gani? Nadhani unauza na jengo pamoja au ni hizo mashine tu mnunuzi akatafute pa kuziweka mwenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom