Kiwanda kinauzwa

Atakuwa amewaza mambo makubwa zaidi yako, wewe unataka kununua pikipiki, mwenzia ameagiza gari, nadhani yuko sawa chukua huo mtumba
Daah!Mungu mkubwa yaani kitu ambacho wewe unatamani ukipate ufanye project ya millions of Tshs kwa idea ambayo tofauti kwa kutumia mashine fulani,lakini mwenzako anayo hiyo mashine ila idea yako hana na anaamua kuiza.
Ni ushahidi tosha kwamba tuna tofauti katika IQ
 
Ni mambo ya biashara tu Amina kuna Mashine nyingine nataka kuzichukua kubwa za hizo ndio maana nimeona niuze hio ili niongeze hatua kubwa zaidi
Msome hapo
Daah!Mungu mkubwa yaani kitu ambacho wewe unatamani ukipate ufanye project ya millions of Tshs kwa idea ambayo tofauti kwa kutumia mashine fulani,lakini mwenzako anayo hiyo mashine ila idea yako hana na anaamua kuiza.
Ni ushahidi tosha kwamba tuna tofauti katika IQ
 
Kiwanda sio tu hicho mkuu ninavyo vingi tuu ila hicho nilikua natafuta mnunuzi ili nilete kikubwa zaidi
Unauza mitambo au pamoja na eneo (title) zilimo kiwanda? Unauza kama asset au kampuni endelevu?
 
Daah!Mungu mkubwa yaani kitu ambacho wewe unatamani ukipate ufanye project ya millions of Tshs kwa idea ambayo tofauti kwa kutumia mashine fulani,lakini mwenzako anayo hiyo mashine ila idea yako hana na anaamua kuiza.
Ni ushahidi tosha kwamba tuna tofauti katika IQ
Weee acha tuu kutiana stress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom