BornTown JF-Expert Member Joined May 7, 2008 Posts 1,716 Reaction score 486 Sep 15, 2010 #1 Wakuu nimepwa taarifa kuwa kiwanda cha Vickfish kinaungua moto maeneo ya Jet/Kipawa
W We can JF-Expert Member Joined Sep 4, 2010 Posts 678 Reaction score 49 Sep 15, 2010 #2 Not unusual!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,454 Reaction score 166,964 Sep 15, 2010 #3 Piga simu zimamoto. Hapa JF wataishia kupiga soga na kukiacha kiteketee kabisa. BornTown said: Wakuu nimepwa taarifa kuwa kiwanda cha Vickfish kinaungua moto maeneo ya Jet/Kipawa Click to expand...
Piga simu zimamoto. Hapa JF wataishia kupiga soga na kukiacha kiteketee kabisa. BornTown said: Wakuu nimepwa taarifa kuwa kiwanda cha Vickfish kinaungua moto maeneo ya Jet/Kipawa Click to expand...
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,777 Reaction score 37,970 Sep 16, 2010 #4 Bujibuji said: Piga simu zimamoto. Hapa JF wataishia kupiga soga na kukiacha kiteketee kabisa. Click to expand... ulijuaje ??
Bujibuji said: Piga simu zimamoto. Hapa JF wataishia kupiga soga na kukiacha kiteketee kabisa. Click to expand... ulijuaje ??
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,575 Sep 16, 2010 #5 Nini tena moto kila siku wajameni?
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,951 Reaction score 9,468 Sep 16, 2010 #6 Bujibuji said: Piga simu zimamoto. Hapa JF wataishia kupiga soga na kukiacha kiteketee kabisa. Click to expand... Ahaaaaaaa!!!Nivituko humu yeye anadhani kuna msaada wa hivyo!!
Bujibuji said: Piga simu zimamoto. Hapa JF wataishia kupiga soga na kukiacha kiteketee kabisa. Click to expand... Ahaaaaaaa!!!Nivituko humu yeye anadhani kuna msaada wa hivyo!!