Kilishakufa zamani
Sijui kama Thomas lyimo kama yupo bado
Tulikunywa maziwa yake sana enzi zile tuko shule ya msingi.
Nimesoma karibu na kiwanda
"Maziwaaa halisiii ya tommy dairy..enhee!! Yana sukariii,..enhee!! yana vitamini...yananenepesha..mshikirika utakua kua.