Kiwanda cha sukari cha Mtibwa ni mali ya Benjamin William Mkapa?

Kiwanda cha sukari cha Mtibwa ni mali ya Benjamin William Mkapa?

Mkapa ana roho mbaya sana ma mia ya familia Tanzania wanatabika kutoka na mali za wananchi alizo jibinafsishia.Mtibwa anahusika %100.Kiwanda cha karatasi Mgololo mpaka leo wafanyakazi wa iliokua SPM Hawajapata stahiki zao kutokana kupeana mali za wanchi yeye na jamaa zake.Anadhambi sana huyu mtu.Mambo mengi aliyodhulumu.Daahhaaa
Hadi kiwanda cha mgololo ni cha Mkapa?
 
Kiongozi bora alikua baba wa taifa,sokoine,labda na huyu hapa kazi tu ,wengine hao Mungu ndo anajua.
 
Mheshimiwa Magu anaijua vizuri Mtibwa na sijui kama ataiweza.JK kafika pale kachekacheka kaondoka madarakani ipo shidaaa.Baba Magu fanyia kazi MTIBWA na nasikia Nassoro kajenga kiwanda cha kutakatisha sukari Huko uarabuni kwa pesa za MTIBWA
Nassoro ndiyo nani?
 
Ama kweli Mkapa kajiandalia bonge la bingo maishani mwake lakini analaanika kwa kutotenda haki katika unyakuaji wa mali za umma.JK upo harakisha suala la kinga ya Mkapa kwani wizi wake unazidi kufichuliwa,vitegauchumi alivyopora vinatosha kulipia 100% ya mikopo ya vyuo vikuu.
Vipi leo unaweza kumkumbusha jk hili swala la kinga ya rais?
 
Back
Top Bottom