Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
KIWANDA CHA MIPIRA YA MIKONO (gloves) KIMEANZA KAZI
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza uzalishaji wa mipira ya mikono katika kiwanda cha Idofi mkoani Njombe.
Mwezi Februari 2024, Serikali iliiwezesha MSD kukamilisha ujenzi wa Kiwanda pekee cha kuzalisha mipira ya mikono “Gloves” kilichopo Makambako, Mkoani Njombe na kuanza uzalishaji.
Kiwanda hiki kimegharimu fedha kutoka serikalini kiasi cha shilingi bilioni 16.
Kiwanda hiki kina uwezo wa kuzalisha wastani wa Gloves milioni 24.4 na kusaidia kukidhi zaidi ya asilimia 60 ya mahitaji ya bidhaa hii nchini na kupunguza uagizaji wa bidhaa hii kutoka nje ya nchi.
Hadi kufikia mwezi Februari 2025, Kiwanda kimeweza kuzalisha jumla ya gloves zaidi ya milioni 5.6 zenye thamani ya shilingi bilioni 1.9.