K kilevo New Member Joined Feb 23, 2011 Posts 3 Reaction score 1 Jan 21, 2018 #1 wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector
wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,476 Reaction score 13,827 Jan 21, 2018 #2 Sema mtaji wako na unataka kufungulia wapi?
K kilevo New Member Joined Feb 23, 2011 Posts 3 Reaction score 1 Jan 21, 2018 Thread starter #3 kilevo said: wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector Click to expand... misasa said: Sema mtaji wako na unataka kufungulia wapi? Click to expand... kwenye proposal nadhan utatakiwa kuandika na expected budget nitafata hiyo bado sijachagua ila ni nje ya dar es salaam unaweza pia kushaur
kilevo said: wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector Click to expand... misasa said: Sema mtaji wako na unataka kufungulia wapi? Click to expand... kwenye proposal nadhan utatakiwa kuandika na expected budget nitafata hiyo bado sijachagua ila ni nje ya dar es salaam unaweza pia kushaur