MoSantu Senior Member Joined Feb 26, 2022 Posts 191 Reaction score 188 Jul 31, 2022 #1 Habari zenu wana JF? Naomba mwenye muongozo au ufahamu wa kiwanda cha kuchakata kuku au sehemu kilipo kwa hapa Tz angalau nikapate Elimu ya uendeshaji, Bei za mashine na soko. NB: Kuku ninao zungumzia ni kisasa (Broiler)
Habari zenu wana JF? Naomba mwenye muongozo au ufahamu wa kiwanda cha kuchakata kuku au sehemu kilipo kwa hapa Tz angalau nikapate Elimu ya uendeshaji, Bei za mashine na soko. NB: Kuku ninao zungumzia ni kisasa (Broiler)
Godo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,111 Reaction score 1,489 Jul 31, 2022 #2 Jaribu kwa Mr.kuku mkuu utapata pa kuanzia.
MoSantu Senior Member Joined Feb 26, 2022 Posts 191 Reaction score 188 Jul 31, 2022 Thread starter #3 Godo said: Jaribu kwa Mr.kuku mkuu utapata pa kuanzia. Click to expand... Mkuu si unajua Tatizo letu waswahili akijua unataka kufanya ishu kama yake anakubania.
Godo said: Jaribu kwa Mr.kuku mkuu utapata pa kuanzia. Click to expand... Mkuu si unajua Tatizo letu waswahili akijua unataka kufanya ishu kama yake anakubania.
Copy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,072 Reaction score 1,382 Aug 4, 2022 #4 Interchick wanayo Ila Sijajua ni sehemu gani iko located.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 17,099 Reaction score 47,682 Aug 4, 2022 #5 Copy said: Interchick wanayo Ila Sijajua ni sehemu gani iko located. Click to expand... Mwanza barabara ya kwenda kisesa, mkono wa kushoto, au sio wao wale?
Copy said: Interchick wanayo Ila Sijajua ni sehemu gani iko located. Click to expand... Mwanza barabara ya kwenda kisesa, mkono wa kushoto, au sio wao wale?