Russia ni vile amechokoza nyuki lazima huyu babu putini ainue mikono
Bora wewe umekubali wenzio wako kwa denial kabisaTunatesa kwa zamu tu, hata sisi waRussia zamu yetu itafika tu. Wakati Pro-NATO tambeni kidogo.


Kazime motoWakati nyie mpo bize kusambaza propaganda na kupiga umbea kwenye mtandao.sisi tunaendelea kujimilikisha maeneo. Mji wa Snihurivka uliyopo kwenye jimbo la Mykolaiv umeshangukia kwenye mikono ya Warusi


😁Naweka kituo hapa, ngoja niende Kule kwenye meli Kwa Britanica halafu nitarudi kusoma comments za wakina Morogoro mashariki
tutegemee makombora zaidi ya Urusi kutua hapo Kyiv ndani ya Massa 24 kuanzia sasa