Kiwanda cha gesi N'twaraa

Kiwanda cha gesi N'twaraa

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,564
IMG_20150617_164600.jpg
 
Ni Mtwara sehemu gani? Kile kiwanda cha NLG kitajengwa Mkoani Lindi mpakani mwa Lindi na Kilwa, na siyo Mtwara
 
Ni Mtwara sehemu gani? Kile kiwanda cha NLG kitajengwa Mkoani Lindi mpakani mwa Lindi na Kilwa, na siyo Mtwara

Ni picha ya kiwanda cha "kuchakata" gesi mkuu. Nadhani atakua alimaanisha hivyo. Ni kweli kipo kata ya Madimba, njia ya kwenda Msumbiji. Ni tofauti na hicho kiwanda cha LNG ulichosema ambacho ni kweli kitajengwa Lindi.
 
Thanks mkuu, kumbe ni Madimba. Hiko bado kiko kwenye ujenzi wake?
 
Urusi wanavimbiana na NATO sababu gesi, ipo siku na sisi tutakuwa wenye sauti kutokana na hizi mali asili.
 
Kiusalama Ni vizuri kuwa Lindi na kilwa. Kuliko kukaa mpakani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom