Kagondo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 296
- 79
Kiwand hiki kinalalamikiwa na wakazi wa maeneo jirani na shule za sekondari na msingi za KIOMONI zilizoko karibu na kiwanda hicho, kuwa zinapata kero ya vumbi la chokaa kwa kiasi cha juu
Malalamishi hayo yanakuja baada ya hali hiyo kukithiri kwani vumbi la chokaa linasumbua wanafunzi na walimu wakati wakiwa shuleni, ikiwemo na wanajamii wanaopatikana karibu na maeneo ya kiwanda.
{Tafadhali, anayejua au mwenye zaidi ya habari hapa aendelee}