Kiwanda cha Chokaa cha KNEELKANT Tanga chawa kero kwa wakazi jirani

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Kiwand hiki kinalalamikiwa na wakazi wa maeneo jirani na shule za sekondari na msingi za KIOMONI zilizoko karibu na kiwanda hicho, kuwa zinapata kero ya vumbi la chokaa kwa kiasi cha juu

Malalamishi hayo yanakuja baada ya hali hiyo kukithiri kwani vumbi la chokaa linasumbua wanafunzi na walimu wakati wakiwa shuleni, ikiwemo na wanajamii wanaopatikana karibu na maeneo ya kiwanda.

{Tafadhali, anayejua au mwenye zaidi ya habari hapa aendelee}
 
bb4db69fac19d88a9a143f3e2788216e.jpg
 
Shkamoo LIEMBA
 
NEMC tanga wapo likizo..

Hivi hakuna watu humu ambao wako karibu na maeneo hayo? maana naskia kuna shule mbili jirani na kiwanda hicho, znaitwa KIOMONI ya msingi na sekondary eti wanakula vumbi sana......?
 
Teh,,,,,
tatizo hasa ni nini? kutafuta maslahi yake mwenyewe bila kujali wanaoleta faida au ni nini sababu?
Hapana, mimi Ile kampuni naifahamu vizuri tu, Liemba anatoa misaada sana ya kifedha kwa wanafunzi na wakazi wa maeneo hayo sema ndo inaishia midomoni mwa viongozi
 
Hivi hakuna watu humu ambao wako karibu na maeneo hayo? maana naskia kuna shule mbili jirani na kiwanda hicho, znaitwa KIOMONI ya msingi na sekondary eti wanakula vumbi sana......?
Unaona tabu gani mkuu ukisema wewe ni Mwanakijiji wa Amboni?
Na hapo unatafuta jirani yako mtu aliejirani yako... Hope utampata tu
 
inawezekana hata DC, RC na Mkurugenzi, maafisa mazingira na mabwana afya wapo likizo...

Likizo hizi sasa tuziweke wazi,,,tuzidadafue ili wajue kuwa likizo bila likizo ni likizo za mwendokasi,,,,za kuwaumiza watanzania
 
Hapana, mimi Ile kampuni naifahamu vizuri tu, Liemba anatoa misaada sana ya kifedha kwa wanafunzi na wakazi wa maeneo hayo sema ndo inaishia midomoni mwa viongozi

sasa vipi kuhusu suala la kutimua vumbi,,,maana kuna malalamishi kibao kutoka kwa wahusika {majirani } hasa wanafunzi na walimu wa shule hizo,,,au wanamjengea tu njama?
 
Unaona tabu gani mkuu ukisema wewe ni Mwanakijiji wa Amboni?
Na hapo unatafuta jirani yako mtu aliejirani yako... Hope utampata tu

Sawa, mawazo yako ni chanya.
kama yupo basi wa eneo hilo lenye tatizo ajitokeze,,,,nitafurahi sana,,,asante kwa ushauri huo,,,,,,,,,,mradi tu tupigane kiume kutokomeza tatizo hilo,,,,,,MAONI YA MTANZANIA ndio njia PEKEE ILIYOBAKI katika kuleta usawa wa HAKI,,,,,,,,,,,,kugombana hakuleti MAHITAJI YA WATU, HASA SISI WANYONGE
 
Mkuu Ungeenda angalau ofisi ya kijiji kwa kuanzia
 
Back
Top Bottom