kampuni moja tu ya kutengeneza bia nchini inalipa kodi nyingi kuliko migodi yote mikubwa ya dhahabu kwa ujumla wao.hii ni jinsi gani tanzania inavyoshindwa kunufaika na utajiri wake mkubwa wa madini.
Tathmini iliyofanywa na kulikoni (9th October 07) ni kwamba kwa mujibu wa hesabu toka serikalini kiwanda cha TBL chenye makao yake makuu jijini Dar peke yake kimelipa kodi ya zaidi ya billion 472 kati ya mwaka '97 na March '05. Taarifa zaidi zinaonesha huenda kampuni hiyo ikawa imelipa kodi zaidi ya bilion 700 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. ukilinganisha na migodi mikubwa ya dhahabu isiyopungua sita hapa nchini inayomilikiwa na kampuni mbali mbali za kimataifa imelipa jumla ya kodi ya dola za marekani 258.8 million tu sawa na bilion 336 tangu mwaka '98