haahaa hawacopy wanafuata maelekezo kutoka kwa bosi wao, na bosi wao ni mmoja!Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Fuxk the CopyCats !
Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Fuxk the CopyCats !
Hivi APA dunian kuna jipya kweli?????Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Fuxk the CopyCats !
Wewe ndo takataka uoni utofauti hapoWasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Fuxk the CopyCats !
Ebu edit kidogo mshindi wa ndondo cup anapewa mil 20? au ulitaka kumaanisha kivumbi cup? Mbona unaingiza watu chakaBingwa wa Kagame cup hupewa nadhani 30 or 50m kama sijakosea na huyu wa ndodo anapewa 20m. Nadhani baada ya hapa itaanzishwa Wasafi football club.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma vizuri na kwa umakini Uzi wangu mzima ungeona utofauti wake uko wapi.
Hakuna jipya chini ya jua kaka.Kaka kukopi inalipa na wewe kopi upige pesa.Kwanza mashindano haya ninkusaidia vijana.Kama ungekuwa unajua kucheza mpira na walau kupiga danadana 3 ungefurahia fursa kama hii.Mfamo timu moja ikachukua kivumbi cup 20 mil+10 mil za ndondo cup huoni hapo itasaidia kuinua timu za mitaani.Wachezaji kama wakina Iddi Nado wa Azam,kaseke wa Yanga,na wengine wengi wametoka kupitia ndondo cup.Kwa hiyo hiyo ni fursa kwa mchezaji mfano kama amecheza vizuri kivumbi hiki kisha akang'ara na kwenye ndondo lazima mtibwa,Azam,Namungo wakunyakue tu.Vipi kwa vijana chini ya miaka 18 nafasi wanazopata.Think beyond think twice.Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Fuxk the CopyCats !
Bora ulivyomuelewesha jamaa inaonekana ana upeo mdogo alafu pia WASAFI wametoa wigo wa vijana kupata kipato nje ya mshindi kupata mil 20, mchezaji ataeibuka man of the match atapata laki 5,kiungo Bora atapata laki 5, beki Bora atapata laki 5 na mchambuliaji Bora atapata laki 5.kwa maana Hiyo Kama kijana atashinda man of the match Mara tatu atapata mil 1.5 hiyo ni hela ya biashara teyali kwa maana hiyo ni michuano ambayo itamuongezea kijana kipato ukiachana na kupata exposure cos hii michuano itaruka live.Hakuna jipya chini ya jua kaka.Kaka kukopi inalipa na wewe kopi upige pesa.Kwanza mashindano haya ninkusaidia vijana.Kama ungekuwa unajua kucheza mpira na walau kupiga danadana 3 ungefurahia fursa kama hii.Mfamo timu moja ikachukua kivumbi cup 20 mil+10 mil za ndondo cup huoni hapo itasaidia kuinua timu za mitaani.Wachezaji kama wakina Iddi Nado wa Azam,kaseke wa Yanga,na wengine wengi wametoka kupitia ndondo cup.Kwa hiyo hiyo ni fursa kwa mchezaji mfano kama amecheza vizuri kivumbi hiki kisha akang'ara na kwenye ndondo lazima mtibwa,Azam,Namungo wakunyakue tu.Vipi kwa vijana chini ya miaka 18 nafasi wanazopata.Think beyond think twice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond ni mwanamziki na sio mpenzi wa Mpira na hili sijui unalifahamuClouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!
Huelewi. Najua Dimond hahusiki sana na ubunifu wa vipindi, watu wake ndio shidaDiamond ni mwanamziki na sio mpenzi wa Mpira na hili sijui unalifahamu
Na lengo la wasafi kuanzisha kivumbi cup ni kwaajili kuwapa vijana platform na kingine ni kuongeza vipato ndomaana wameweka mzigo mkubwa kuliko hata hao ndondo cup mshindi anapata mil 20 ukiachana na Hilo kiungo Bora anapata laki 5, man of the match anapata laki 5, kipa Bora anapata laki 5, beki Bora atapata laki 5 na mchambuliaji anapata laki 5 wewe uoni hii ni fursa especially kwa vijana wa kitaa na vijana wenye vipaji vikubwa wanachukuliwa kwaajili ya kuwapeleka nje ya nchi kwa majaribio especially vijana wadogo wenye umri chini ya miaka 18.Huelewi. Najua Dimond hahusiki sana na ubunifu wa vipindi, watu wake ndio shida
Who care....?Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Fuxk the CopyCats !
Ungesoma vizuri na kwa umakini Uzi wangu mzima ungeona utofauti wake uko wapi.
Imagine kuna dogo kitaa anatamani sana kupitia hii fursa atoboe halafu wewe unaleta hates ambazo hazina msingi wowote.Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa