Kuna wimbo fulani wa zamani ulikuwa unamaneno yanasema 'kuishi kisiwani kuna utamu wake' siku ukijaribu lazima kila xmass utabadili njia..badala ya kwenda kule kwa kawaida utakuwa unapanda meli kwenda kisiwani..

ok umekimbia maswali lakini kwa ujumla hata ukipanda ndege safari za nje ya bara afrika lazima utavuka maji. Na ndege ikikorofisha usawa huo basi mafikio ni baharini tu.
Usiogope sana maji Panda boti za Kilimanjaro ukatembee visiwani. Usalama wake ni mkubwa tu kuliko hata usafiri wa mabasi.