Muda huu niko kwenye kivuko cha magogoni toka posta kwenda kigamboni. Kivuko kimeharibika katikati ya maji. TPA sasa hv ndo wanatusaidia. Hali ni mbaya sana.
Kivuko kina umri wa miaka chini ya mitano tu lakini kimekwisha - Uchakachuaji wa mafuta na kikinyima service stahiki.
Kwa kuwa watanzania umezoea shida endeleeni hivyo hivyo.