Kwanini serikali inazuia wananchi wanaotumia kivuko cha kutoka Kivukoni kwenda Kigamboni kupiga picha, tatizo nini huduma mbovu, wanaficha nini wakati lile ni eneo la kitalii watu wanaenda kwenye fukwe mbali mbali kwanini wanazuia
KWANINI SERIKALI INAZUIA WANANCHI WANAOTUMIA KIVUKO CHA KUTOKA KIVUKONI KWENDA KIGAMBONI KUPIGA PICHA , TATIZO NINI HUDUMA MBOVU, WANAFICHA NINI WAKATI LILE NI ENEO LA KITALII WATU WANAENDA KWENYE FUKWE MBALI MBALI KWANINI WANAZUIA