Kivuko Cha Kigamboni

Kivuko Cha Kigamboni

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Kwanini serikali inazuia wananchi wanaotumia kivuko cha kutoka Kivukoni kwenda Kigamboni kupiga picha, tatizo nini huduma mbovu, wanaficha nini wakati lile ni eneo la kitalii watu wanaenda kwenye fukwe mbali mbali kwanini wanazuia
 
KWANINI SERIKALI INAZUIA WANANCHI WANAOTUMIA KIVUKO CHA KUTOKA KIVUKONI KWENDA KIGAMBONI KUPIGA PICHA , TATIZO NINI HUDUMA MBOVU, WANAFICHA NINI WAKATI LILE NI ENEO LA KITALII WATU WANAENDA KWENYE FUKWE MBALI MBALI KWANINI WANAZUIA
Wanaogopa kurogwa kwasababu watanzania 98% ni washirikina.
 
Back
Top Bottom