Kivuko cha Bagamoyo - Dar Chashushwa leo

Status
Not open for further replies.

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
boat ya mwendokasi kwenda Bagamoyo- kwenda Dar INASHUKA LEO Kutoka CANADA

 
hivi hiyo boti itakuwa inachukua watu wangapi na itafanya safari ngapi kwa siku?
 
Hivi mbona siku hizi kila mradi lazma bagamoyo ufike? Kwanin ?
 
hivi kivuko sikilikuwa kinatengenezwa na wa denmark huko asia, hicho kutoka canada mbona nasikia leo???
 
boat ya mwendokasi kwenda Bagamoyo- kwenda Dar INASHUKA LEO Kutoka CANADA


hahha,
wacha uongo mmeikarabati hapohapo bagamoyo mnajifanya imetoka canada, ilikuja ikiw achakavu na mkaitengeneza hapahapa bongo/.
 
Inaitwa mv dar es salaam; magufuri kaifungua rasmi
 
Kituo ni ferry. Naona ujenzi wa eneo LA kupumzikia abiria unaendelea Kwa kasi ya ajabu.
 
Hongera sana JK na Magufuli kwa kutuwezesha.
 
hii ni kati ya project ambazo hazina mashiko wala umuhimu wowote kwa sasa, mbwembwe za kijinga tuu. si bora waipeleke ikahudumie ziwa nyasa lenye meli moja, bagamoyo dar kuna shida gani ya usafiri?
 
bagamoyooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111111
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…