mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Unakaa kimya hata kwenye hakuna?Ngoja nikae kimya
Mbona kinyonge sana mkuu? Shida ni nini mzee?[emoji23]Sawa
Kwa hiyo kwa sababu utelezi wao unafanya dunia iende, basi wana run dunia? Utelezi wao na kwenda kwa kunia kuna link gani hapo?Ule utelezi wanaoutoa ndo unafanya dunia iende
So conclusion
Wanawake wanarun dunia
[emoji5]
Dunia gani?Wanawake tunarunn dunia utake ustakee. Nani alosema hatuwezi na anaanzaje kwamfano?
Tuko pamoja mkuu kwenye hilo 💯🤝Mbona kinyonge sana mkuu? Shida ni nini mzee?[emoji23]
Kwamba wao ndiyo con towers wa wanaume. Kwenye mahusiano na kwenye karibu kila kituWana run kivipi
Ooh! Kumbe.! Atleast naanza kukuelewa mkuu.wanarun dunia kwa namna yao mfano, kuzaa na kulea watoto...
na sisi tunarun dunia kwa namna yetu mfano, kuhudumia familia kiuchumi na kwenye kufanya maamuzi magumu....
kiufupi tunategemeana
Sasa mbona niko kwenye mahusiano miaka mingi sana? Hayo ya kutumia mafuta yanakujaje? Kwani kuna wanaume bado wanatumia mafuta/sabuni? Looh maajabu haya!Ukisoma Biblia kitabu cha Mwanzo
Adam pamoja na ucha Mungu wake wote lakini ni Eva ndiye aliyemfanya ajione yupo uchi anahitaji kuvaa
Samson pamoja na Nguvu zake nyingi lakini ni Delila ndiye aliyemuweza.
Sasa sijui mtoa mada unataka tukupe mfano gani mwingine ndiyo uelewe.
Ushauri wangu kwako, ukitaka usione nguvu za Wanawake ni vyema ukafanya yafuatayo;
LLakiniukiona tunagombania akina Mwajuma ndala ndefu huku kitaani, basi ujue hauna muda mrefu kabla hujajaririshwa mashairi ya AliKiba - Mapenzi yana run Dunia [emoji119]
- Ukajikita na sabuni/mafuta miaka yako yote
- Ongea na Elon Musk akupatie Robot lako moja ulioe
Sasa kama hutaki kumweka ndani Mwanamke si utalazimika kuoa sabuni/mafuta mkuu 😅Sasa mbona niko kwenye mahusiano miaka mingi sana? Hayo ya kutumia mafuta yanakujaje? Kwani kuna wanaume bado wanatumia mafuta/sabuni? Looh maajabu haya!
Mimi nimeshaweka ndani, ila harusi badoSasa kama hutaki kumweka ndani Mwanamke si utalazimika kuoa sabuni/mafuta mkuu [emoji28]