Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

Duuuh ni nomaaaaaaaaaaa:rofl: hicho kivathi jameni ndo UTHUNGU HUooo.. mboni kathi ipoo..
 
Biashara kweli matangazo, sasa ukimchukua huyu itabidi juu ya condom uvae condom nyingine
 
Mfunyuku
Huyu Mzee Zamani nilikuwa namkubali sana enzi zile akitupigia Music pale JKT Mafinga, halafu alikuwa anatungatunga Vitabu vya hadith za kipelelezi nilikuwa sikosi kununua nakala ya vitabu vyake, lakini siku hizi nikimuangalia naona kama siyo yule!!! Ni mtu mwingine kabisa, Ile heshima ya zamani kama ameacha ipotee vile?!!!!! Inasikitisha.
 
Kuna watu kwao heshima ni ya kununua ..Binti unavaa kama unaenda kujiuza ?????????????
 
Si aliwahi kusema ameacha bangi, imekuaje tena?
 
Shemeji, huyu mdada mbona kanimaliza sana? Hiki si kivazi cha biashara tu? Unaweza kukuta tabia yake safi sana, kama Beyonce vile. Hivi una simu yake unitupie? Wengine sisi Wanyamwezi, kangozi keupe ni Limbwata tayari 🙂



heheee ndani kipande cha mti.......duh NYU sahihisha hapo!!!
 
Huu uzungu wa wazazi na wana wao, mmh! Lakini kama baba mwenyewe amekaa ki'papaa mukuluuuu', macheni kibao, what do you expect watoto wafanye?

Yule baba kama pu.nga flani hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…