Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

huh nilikuwa sijaona na ile makeup! gosh umeme ulikuwa umezimwa siku hiyo au?
 


OMG! hivi huyu dada alinusurika kwenye mabomu ya Mbagala au nimemtizama vibaya?
 
Yesu wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mimi nilivyoitazama nimejisikia niko uchi.


Maunda hana tatizo, Baba ndo noma. Siku ile nilipomuona akiwa na Baba yake nikaanza kulaumu.. huyu mzee vipi mbona ameanza kutembea na vibinti vya aibu hivi, si akina Banana watamnyang'anya... mara wakamtambulisha kuwa Mzee Zorro na mwanaye Maunda.... nilikasirika nusura niache kuendelea kuangalia TV.. nini tena wazazi wa namna hii?
 
Ah huyu alishajifungua kumbe?? Duh wajameni mbona hivi? alitokea mlango gani huko kwao au mumewe?
 

angekuwa na mume si angeenda naye? au alimuachia mtoto alee?
 
Huyu nahisi ni nung'aembe. Na baba yake ndiye anayelea hii tabia, maana na mwenyewe haeleweki ni kurembua tu, kalikiti na hereni kama choko, sasa utategemea nini kwa wanae?

Lakini kama angekuwa ameolewa na mumewe anamfurahia hivyo, au angekuwa hajazaa kwa hiyo hakuna mtoto atakayekuja kuonea aibu mambo ya mama yake, mi naona poa tu atuonyeshe hayo mamtindi, mgongo, tumbo nk, kama yana burudani tutapata kwa macho. Mi huwa nachukia kama mtu ana jiumbo lake baya kama gunia lililojaa viazi, hajaoga vizuri, ana mibakabaka halafu kajikandika mapoda machafu kama yale ya yule Fideline Iranga, yule ndiye anayenichefua maana nikiona napata mshtuko kama vile nimeona dudu la kutisha. Lakini mabinti wazuri wakionyesha walichojaaliwa na mola wao mi naona mashallahu.
 
Haya mambo ya kuiga! Mbona vitu vya maana hatuigi tunaiga mambo ya ajabu ajabu?
 
Jamani Mi naomba niulize wataalamu,Hivi hili gauini alovaa na blazia,kipi cha bei ghali?nahisi hilo gauni kagawiwa bure.
 
kwa kweli hapo anaboa hata hafai kuangalia msiwe mnaweka picha kama hizo huku zinaboa wekeni picha nzuri ili watu wajifunze.Mtu kama huyu mkimweka huku anajisikia ila mkimpotezea atajiona *****.kwa kweli hajapendeza tena mkorogo huo ndo umemuharibu kabisaaaaaaaaa!
 
Nafikiri ancho hitaji ni ushauri tu, na kwasababu yeye ni muelewa ata chengi kutokana na mazingira, Baada ya hapo ataendelea kuwa smart kama nyimbo zake.
 
hawa ndio wanaosababisha laana katika taifa letu
 





Mwili wenyewe dot com kibao halafu unauacha wazi hivi loh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…