Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757




OMG! hivi huyu dada alinusurika kwenye mabomu ya Mbagala au nimemtizama vibaya?<!-- google_ad_section_end -->
 
duh!! tutaonana wabaya bure. ndoa zetu zina changamoto nyingi!!
 
Ni yeye kweli?! Ee bana eh!
 
Muda si mrefu tutaiga mpaka kuny'a!
 
duh!! tutaonana wabaya bure. ndoa zetu zina changamoto nyingi!!

Kama unatamani wa namna hiyo, mvishe tu mkeo kama huyo ili unusuru ndoa yako! Hapo unategemea nini kama sio gonjwa la sehemu za siri au kwenye damu ya mwili wako?
 
Dah huyo maunda Zoro afya yake naona kama mgogoro flani hivi mnyongeeeeeeeee sijui yukoje
 
oooh oh oh hiki nacho ni kivazi au night dress??????
 
mmmh .....kweli market tanzania imekuwa ngumu! mpaka watu wachukue drastic measures! huh
 
mimi nimechoka si tu na hicho kivazi bali na huoo mkorogo hovyooo kabisa

mimi ndo nimechuna na break za mbuzi kwa macho kuona alivobadilika rangi kama kinyonga ghafla!!!!

jamani hawa wasichana hawogopi?
 
Hii nadhani ilikuwa ni siku ya kutoa tuzo za Kili, tena alikuwa na baba yake pamoja na Banana.,kweli maadili yametokomea kusikojulikana yaani kivazi hiko mbele ya baba yako mzazi na umati wa mamia ya watu...,mmh!, bora Yesu arudi tu.
 
Huu uzungu wa wazazi na wana wao, mmh! Lakini kama baba mwenyewe amekaa ki'papaa mukuluuuu', macheni kibao, what do you expect watoto wafanye?
 
Mi nadhani hakuna ubaya saaaaana ila labda amekivaa sehemu isiyo, angekuja mtu kavaa swimming costume ingekuwa hatari zaidi au?Sasa hapo naona kama ni harusini watoto, wazee(wenye heshima kibao) doo inabidi wa namna hiyo waaangalie chini kila akipita ingawa naona kama kinafunga mbele?*?
 

kuvaa kote uchi ki hivyo lakini no mvuto, yaani haviii hata kidunchu, na hiyo make up ndio kavuruga mazima, nimeona pics nyingine cjui blog gani, kuna yule presenter wa star tv uwiii yaani kituko kabisaaaa, hivi hawawezi kuwa cmple tu wakaeleweka? nimemuona na yule mtangazaji wa clouds nae cjawahi kunuona akipendeza kwenye matukio jamani, hivi wanadhani kujiweka uch uchi ndio kupendeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…