Kiutamaduni zaidi

Apo adi kiatu kinamechishwa na hicho kitenge.
 
Utamaduni wetu ni kaniki nguo nyeusi kama mkaa na siyo hiyo kitenge cha mhindi kutoka pakistani au marudufu

Ni kweli,sema tu hatuna viwanda vya kutosha kutengeneza nguo hizo unazosema ndio maana ma-vitenge ni mengi,hivyo wengi kuchukulia km utamaduni wetu.asante kwa kunirekebisha,tupo pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…