chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,897
Mlenda ni mboga ninayoielewa sana, tatizo huku ule pori adimu mkuuMlenda pori na ugali wa mhogo hunitoi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeshiba ghafla
Pemba hii dadaSio pemba hii ? Au usharudi chanja njawiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu hapendi ugali anafatia izo mboga tu
Hahaha, hazijafika mkuuMBOGA SABA!
Dada mkuu, hapo ibracadabra kashapiga mashutihuu ugali kuna round nyingine ama ndiyo imetoka hiyo....?
Yes mkuu inshallah 1 dei zitafika sabaMboga 4
Huo mbona watu watatu unawatosha kabisa mkuu.....mkuu ugari utakutosha huo?
KaribuuuDuu hilo pajaaaa
Mmh uongo mbaya kwa si wasukuma hautoshiHuo mbona watu watatu unawatosha kabisa mkuu.....
Kwa ninyi sawa ila kwa sisi wa dar shida hakuna tunashiba na mzigo tunapiga kama kawa mkuu...Mmh uongo mbaya kwa si wasukuma hautoshi
Kwel mkuu?Ugali ulitakiwa dona sio sembe mkuu
Sawa² mkuuKwa ninyi sawa ila kwa sisi wa dar shida hakuna tunashiba na mzigo tunapiga kama kawa mkuu...
Muno mkuuKinaonekana kitamu