hun kwan we ukinipa kitumbo itakuaje nan kasababisha si ni wewe,ana so mwenye mimba wewe in a sense dat umesababisha n mwenye mimba ni mwanamke coz yeye ndo kabeba kiumbe so is all abt holder in duecourse. Mmmh mtazamo bby

Junior. Cux ukiiingiza card kwa ATM ukaklick kila kitu kikakubali...sekunde zile (miez tisa ile) kabla pesa hazijatoka...ni zako ama bado ni za ATM machine??!:thumbup::thumbup:hivi kwani ukiweka card kwenye atm hizo hela zinazotoka ni za atm au zako.??? kuanzia mimba mpaka mtoto ni wangu mimi ye kanishikia tu kama atm mashine
hivi kwani ukiweka card kwenye atm hizo hela zinazotoka ni za atm au zako.??? kuanzia mimba mpaka mtoto ni wangu mimi ye kanishikia tu kama atm mashine
hun kwan we ukinipa kitumbo itakuaje nan kasababisha si ni wewe,ana so mwenye mimba wewe in a sense dat umesababisha n mwenye mimba ni mwanamke coz yeye ndo kabeba kiumbe so is all abt holder in duecourse. Mmmh mtazamo bby
mwenye mimba ni yule aliyeibeba basi.Mapema ya leo Swaiba wa mie wa karibu, alinipigia niende kwake haraka kuna tatizo la dharura.
Mara tu nilipofika nikakuta sintofahamu ya Swaiba wakitupiana maneno makalimakali na Mkewe , matusi included pia.
But maneno makuu yaliokua yametawala pale ni Mkewe (ambae ni mja mzito) akishinikiza kwenda kwao.
Mume nae akimzuia mkewe kwa kumwambia ;-"Mimi sina tatizo na kuondoka kwako , napenda uende hata sasa hivi ! .
Lakini kinachofanya nikuzuie ni hiyo mimba yangu , sitokubali kabisa utoe mguu humu ndani mimba yangu ikateseke! Subiri ujifungue ndiyo uondoke"
Mke akamjibu ;-
" Khaa babuwee nipishie mbali , kuondoka ndiyo naondoka vizuri na mimba yangu! Na wala usijidanganye kama nitateseka na hii mimba yangu! "
Wana wa bodi kutambiana huku ama nikuite kutunishiana msuli kwa hawa Bibi & Bwana , ndiko kulikozaa hii Thrade .
Usahihi na ufasaha mwenye mimba hapa nani ?
haya wajuzi hao mtu juze tuuu
Wote wawili.
Mke na mimba ni vyangu as me ndo navimiliki. Otherwise she is not my wife.