Kiumbe yupi ni hatari zaidi duniani?

Kiumbe yupi ni hatari zaidi duniani?

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,323
Reaction score
11,762
Hawa ni baadhi ya wanyama na wadudu wanaojulikana zaidi duniani ambao ni hatari na wanaongoza zaidi kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani kwa makadirio ya kila mwaka.

KIUMBE — VIFO

26. Popo 2
25. Dubu. 3
24. Papa. 4
23. Buibui. 7
22. Mbwa mwitu. 10
21. Ng'ombe. 20
20. Farasi. 20
19. Simba. 22
18. Chui. 29
17. Siafu. 30
16. Nyuki. 53
15. Jellyfish. 110
14. Chui milia. 125
13. Deer. 130
12. Nyati. 200
11. Kiboko. 500
10. Tembo. 500
9. Tapeworm. 700
8. Mamba. 1000
7. Nge. 1200
6. Mbung'o. 20,000
5. Konokono. 20,000
4. Mbwa. 25,000
3. Nyoka. 50,000
2. Binadamu. 435,000
1. Mbu. 725,000

MAPINDUZI
-Popo (2019/20) zaidi ya 200k.
 
Kichocho, may be!
Konokono.... Ufafanuzi???
ndio, kichocho. Lakini pia konokono hasa wapatikanao katika mito mingi iliyopo hasa katika kanda ya kusini mwa jangwa la sahara hubeba vimelea vingi vya magonjwa Kama kichocho na mazalia ya minyoo. Hasa ukiangalia kuna jamii za watu wanawatumia kama chakula.
 
Kiumbe hatari zaidi ni BINADAMU huyu ndio ameua mabilioni ya watu japo hujamtaja.
 
Popo? Kiaje yani?
Popo hauwi kwa kung'ata au kuatack labda hapana ila kwa sababu ni mnyama aneyebeba magonjwa mengi ingawa yeye hadhuliki ila Anayasambaza kwa viumbe wengine binadamu akiwemo mfano SARS- CoV.
 
Hawa ni baadhi ya wanyama na wadudu wanaojulikana zaidi duniani ambao ni hatari na wanaongoza zaidi kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani kwa makadirio ya kila mwaka.

KIUMBE — VIFO

26. Popo 2
25. Dubu. 3
24. Papa. 4
23. Buibui. 7
22. Mbwa mwitu. 10
21. Ng'ombe. 20
20. Farasi. 20
19. Simba. 22
18. Chui. 29
17. Siafu. 30
16. Nyuki. 53
15. Jellyfish. 110
14. Chui milia. 125
13. Deer. 130
12. Nyati. 200
11. Kiboko. 500
10. Tembo. 500
9. Tapeworm. 700
8. Mamba. 1000
7. Nge. 12000
6. Mbung'o. 20,000
5. Konokono. 20,000
4. Mbwa. 25,000
3. Nyoka. 50,000
2. Binadamu. 435,000
1. Mbu. 725,000

MAPINDUZI
-Popo (2019/20) zaidi ya 200k.
Bill Gates Ni kiumbe hatari sana duniani kwani utajiri wake ni damu za watu. Kwa miaka mingi utajiri wake upo katika kutengeneza virus na kutengeneza kinga ili apatiwe pesa kwa sindano za kinga
Ndiye aliyetengeneza HIV, EBOLA, na sasa CORONAVIRUS na kuna mtandao nimeifuta wanasema FBI na CIA wamemkamata kwa tuhuma za ushiriki wake kutengeneza birus vya Corona.
 
Back
Top Bottom