Kiumbe wa usiku!

Nilizani uzi wa mshana jr, manake jamaa na mada zake hufanya nikimbie chumbani kwangu mwenyewe na kulala living room.[emoji1] [emoji111]




Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ni kitabu kinatanganzwa..!?

Hawezi kuwa KIUMBE wa Usiku peke yake...!

Ni lazima awepo MWENZA.
Hakuna Mwezi bila ya Nyota...!
 
Hahahahahaaa nenda kimboka utawaona
@joserverest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…