KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,332
Anaukatili gani? naomba unielimishe
Uko sahihi kabisa.akiwa ana dive hiyo kasi anaeza kuifikia lkn sio kwa kushughulisha mabawa yake!!
Sina uhakika lakini!
MhmhhMnaijua speed ya Koboko?
hahah, baba paroko unaguna! unaijua speed ya koboko wewe?Mhmhh
KOboko hawezi kufikia kwa falcon Broo KOboko anaenda 20kph so hajafikia hata robo pia koboko nichakula cha huyu jamaaahahah, baba paroko unaguna! unaijua speed ya koboko wewe?