Vijana wa siku hizi pesa mbele huduma nyuma,kazi yeyote italipa only kama wewe mfanya kazi utaleta more money to the company,utazuia loss of money ,utapunguza operation cost.Sasa siku hizi mnawaza kulipwa mipesa mingi kwa kazi kidogo.Kama unaelewa nini kinaendelea kiuchumi duniani,most companies ziko na economic crisis.Be your own boss kama unataka kazi ya kulipa vizuri.Kabla ya kutaka kulipwa vizuri,jiulize wewe utachangia kiasi gani kwa kampuni.Mishahara haitoki mbinguni,inatokana na pesa kampuni iliyopata.The way I see it,kazi za IT zitakazokuwa sokoni for so long(sijasema zenye pesa nyingi) ni mambo ya Database,security,wireless networking,Software engineering,systems auditing.Kama wewe ni kichwa try otherwise just b an observer.