Si mchezo kaka..sikia tu..Uliyoandika yamekutokea kweli?
So hayo tu..nna mengi zaid..nikikaa pekeyangu na kuyambuka mengine yananidonsha mchozi...Uliyoandika yamekutokea kweli?
Hao nao wapo kazini kaka...nami ni mteja wao... Acha tu..sijui ni hirizi ya rangi gani cjaijua..bado ni wapigaji...Kuwa mganga tu mkuu
Hahahaha .. asante kwa wazo kiongozi..ngoja niuze mahindi nikanunue maturubai na redio...Kuwa nabiii hutojuta
Nipe hizo mishe kaka...wewe sijui unafeli wapi ila sikia ziko mishe nyingi tu kwa siku unalaza 10k-15k kama siku gemu zuri unalaza 25k-30k sijui uko kwenye mkaa sijui kilimo umefata nini
kama upo kijijini, njoo mjini mkuu huku ndo kuna elaNipe hizo mishe kaka...
Kifedha ni hali tete..ndo wanahisi nimefanikiwa na nmewatengaMazingira ya ukoo wako yapoje kifedha au kimafanikio
Mji upi kaka,,kama upo kijijini, njoo mjini mkuu huku ndo kuna ela
we ni mtoto wa ngap?Kifedha ni hali tete..ndo wanahisi nimefanikiwa na nmewatenga
Wa kwanzawe ni mtoto wa ngap?
😂pole sana, kwa maana hiyo huwezekan mdogo wako au wadogo zako walio chin kufanikiwa.Wa kwanza
B.A ED.. course ya watoto masikiniUmesoma course gani?