Seng***e
Ningekujibu kadri niwezavyo kama wengine ila ngoja nikueleweshe.....Mtazamo wangu ni kua ingefaa wanaume ndio wawe wanatongozwa na kuombwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake, regardless kama mwanaume ni handsome au la. Kwa maana
-wanaume ni wachache
-wanaume ndio wanachakalika na kuhudumia familia
- wanaume hutoa jibu haraka
kama ni hivyo, kwanini sasa wao wasiwe ndi wanatongozwa ie kuombwa?
Natamani experiece ninayoipata waipate wengine, kitendo cha kutongozwa unakua unajiamii na hubabashi hata kidogo mana wako wengi wanaokutaka.
Inafikirisha sanaBro,
Inakuwaje unajifanya mwaanamke kwa muda mrefu hivi.
Is it mental issue, masihara ua unatafuta umaarufu kwa nguvu?
Hutaki tukutongoze kijana😂
Mbona alishaweka wazi, ni vile tu hamfatilii..Ukiona mwanaume anawazia uzuri wake muda wote, kujipaka poda, mafuta kwenye makalio na mgongo basi ujue GAME OVER!
Tukae kimya kwa dk 1 kuomboleza kupoteza mwenzetu mmoja.
Mimi nimetongozwa na mademu jumla watano, niliyemkubalia ni mmoja tu.Mademu wangekuwa wananitongoza mimi...
Mtaani ningeitwa "maharage ya mbeya"
"Makaveli wa wote" "voda fasta" etc.😂🤣
Acha kuunganisha dini na mambo ya namna hiyo."Raha Ya Kutongozwa Unipe Eeh Bwana,,Na Mwanga Wa Mahaba Uniangazie Nitongozwe Kwa Amani.."
###Amen###