juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
- Thread starter
-
- #41
Nice question mkuu,na ndio maana nimesema automatically wananchi wote ni ccm tuuSasa kwa nini mnaingia uchaguzi na kutumia fedha nyingi kufanya kampeni kama mnajua kwamba mnaibiwa?
Mkuu acha uzushi,balozi anakuwa ni ccm ,lazima,sijawahi kuona balozi wa chama pinzani[emoji15]
Wapo!ubalozi ulisha futwa kikatiba na kisheria!ubalozi upo kwa utashi wa wanasiasa!ngazi ya chini kiserikali ni ngazi ya kitongoji inayoongozwa na mwenyekiti wa kitongoji!ni ruksa kuwa na balozi wa act,chadema au c.c.m!Mkuu acha uzushi,balozi anakuwa ni ccm ,lazima,sijawahi kuona balozi wa chama pinzani[emoji15]
Walituibia kura,na vile vizeee kimoja kiko kanada kimepatwa na mapenzi ,kingine kinaitwa le pro-pesa uchwara sijui kilisoma wapi vile ila huwa naskiaga udsm chuo bibi hapa tanzania,hakina maadili wala aibu kimepindua ofisiKama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara?
Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?
[emoji15]
ila kweli naskia na humu jf tuna vichaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna utafiti umekuja kuwa hapa Tz. Kati ya watu 4 mmoja anaugua kichaa!mleta mada umedhihirisha hilo! nakushauri wahi Muhimbili au Mirembe kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.
Sijui hata makao yao yapo wapi,Wewe utakuwa ni mkurugenzi wa twaweza unatumia akaunti hii kuleta tafiti zenu za kinafiki
Na ya wabunge na madiwani? Afu viongozi wetu ni waongo san.walijua wameshindwa kihalali ila tu walitoa sababu za kutuaminisha uongoTume ya uchaguzi=ccm
Katiba =ccm
Vyombo vya usalama=ccm
Wakurugenzi=ccm
Unategemea nini?
Kabla ya kuandika hii chai mtafute j. Makamba akupe ukweli wa matokeo halis ya urais 2015.