Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Thread ya kichovu kushinda zote toka mwezi huu uanze.
 
Siyo kuwa watanzania wote ni ccm bali wanaccm ni wengi zaidi kuliko wa vyama vya upinzani lakini pia wapo watanznia wengi hawana vyama hupima hoja za mgombea ndiyo huamini.
 
Dah! Jf sio watu wazuri kabisa!!! Yaani wameonesha kabisa umecoment kwa simu ya Itel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani sio simu?
Jadili mada /alichokiandika.
 
Kuna utafiti umekuja kuwa hapa Tz. Kati ya watu 4 mmoja anaugua kichaa!mleta mada umedhihirisha hilo! nakushauri wahi Muhimbili au Mirembe kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe utakuwa ni mkurugenzi wa twaweza unatumia akaunti hii kuleta tafiti zenu za kinafiki
 
yako mengi yaliyopelekea kushindwa na nakuambia kwa katiba hii na hali ilivyo ccm haiwezi kutoka madarakani wasimamizi wa majimbo ni makada na wateuliwa wa mwenyekiti wa chama unategemea nini?tume ya uchaguzi sio huru mana anayeiteua nae pia anagombea wasimamizi wote kuanzia polisi tume jeshi wote wanakuwa upande wa chama tawala kiujumla mfumo wetu ni mbovu na bado sana
 
Sisi tumeelimika usitujumuishe kwenye dubwana la ajabu ajabu namna hiyo, hilo baki nalo mwenyewe na akina Jah pipo, na Lusinde aliyehojiwa na polisi kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi wa jimbo lake kushambulia watafiti na kuuliwa wakiamini ni wanyonya damu
 
Kweli upinzani bado sana, Upinzani hauna dhamira ya kweli ukiwaangalia wote ni hatari kama alivyowai kutwambia Tundulisu
 
Kweli kabisa mleta mada.

Hizi Sacco's za ufipa hazina maana yoyote mbele ya jamii
 
Dah! Jf sio watu wazuri kabisa!!! Yaani wameonesha kabisa umecoment kwa simu ya Itel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimechaka sana mkuuu...ahsante nimeongeza siku za kuishi
 
Mmh akili hizi cyo bure:

Hujashiriki kweli kuua watafiti mkidhani wanyonya damu kule kwenu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi sipo huko na haitokaa itokee nitakuwa kama wale wanyama waliochagua kuingia baharini kuliko kuishi na yale madude ndani ya miilo yao
 
Mleta hoja naona wenye lumumba st wamekutuma kutuhoji ili kujua idadi ya wafuasi wenu wa kuisoma namba.
Kwa taarifa yako nchi hii haina mwanachama wa ccm hata mmoja. Wote wapo upinzani. Kipimo ni kidogo sana kuthibitisha hili. Jaribu kumvua nape vyeo vyote alivyo navyo ndani ya ccm kisha umprovoke kidogo tu kama hajajiunga na cuf baada ya nusu saa.
 
Mmh akili hizi cyo bure:

Hujashiriki kweli kuua watafiti mkidhani wanyonya damu kule kwenu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Akili hizi ndio bado zinaamini kuwa kuna wanyonya damu, ccm baadhi ya watu imewafanya kuwa wajinga milele
 
Dr Slaa aliondoka CHADEMA baada ya jaribio lake la kutoka kwenda kula mihogo Ikulu kukataliwa na wana UKAWA yeye na Propesa Lipumbavu wakaamua kuchukua pesa za CCM na kusepa.

Dr.Slaa aliondoka" CDM KWENDA IKULU KULA MHOGO" Slaa yupi anaongelewa hapa? Wilboard? Niambie ELN nini kilimtoa CCM kw cdm.
 


Sasa kwa nini mnaingia uchaguzi na kutumia fedha nyingi kufanya kampeni kama mnajua kwamba mnaibiwa?
 
Hili ndio kosa letu kubwa huwa hatusomi tukaelewa
 
Dr.Slaa aliondoka" CDM KWENDA IKULU KULA MHOGO" Slaa yupi anaongelewa hapa? Wilboard? Niambie ELN nini kilimtoa CCM kw cdm.
Dogo anamkosea heshima slaa,,yule mtu ni mfano wa kuigwa,hayarudii matapishi yake,alisema lowasa ni mwizi na hajabadili msimamo wake,alisema anaacha siasa na kweli kaacha siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…