Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Alikuwa ukimuona Yuko kanisani utasema mcha Mungu kweli kweli.
Kumbe sio ni shetani aliye jivisha joho la utakatifu.
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.

kwan nani ndo alimwashia moto? maaana alisema anawajua mara saaahv ushahidi hana, tumwelewe vp?
 
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
Hivi unawaza kwa kutumia kichwa kipi? Salama kivipi kwake kama waliompiga risasi mpaka sasa hawajakamatwa? Hivi ukiitwa mpumbavu utalalamika?
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Kabisa haipo. Labda kuuwa watu
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Sijui, lakini ni wazo zuri. Bahati (mbaya) wazo limefanyiwa test mara mbili likashindwa. Mara ya kwanza ni Uchaguzi 2020: awamu ya 5 walipata wabunge 200 na rais akapata kura 87%.

Au naccm waliiba kura? Wakisaidiwa ba mapoliccm? Inawezekana, lakini ndipo ukaja mtihani wa pili. Akidai kuibiwa kura, tundulissu aliamuru jeshi zima la CHADEMA, milioni 6, wahamie barabarani kutetea kura zao.

Alidai: "mimi ni mwanasheria najua kuwa kudai kura yako si kosa la jinai; nendenituone kama wanacrisasi za kutosha kutumaliza wote". Nobody turned up, not a single 1, yaani hata mgombea nwenza alikataa.

Conclusion? Si kweli kwamba wapiga kura walichukia shambulio la tundulissu
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Lile jaribio la kumuua lissu halikuwa la kimfuno wa TISS, ni wahuni wachache walishirikiana na mmoja mwenye mamlaka - ila Mungu Mwenyezi akawaumbua kweupe !! sasa hivi waliobakia hai wanajuta nafsi zao wengine wametangulia yaani ule msemo wa "mchimba kaburi...kaingia mwenyewe ukatimia.
 
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
Kesi ipi ipokee huo ushahidi
 
Huyo Tundu Lisu wako alikuja kugombea na hakupata hata kura millioni 2.

Lofa ,zee la MIGA alidhani watanzania ni wajinga watachagua msaliti.
Jpm alijipatia laana ya kifo kwa jaribio lile lililofeli. Mungu ni mwenye haki.
 
Lile jaribio la kumuua lissu halikuwa la kimfuno wa TISS, ni wahuni wachache walishirikiana na mmoja mwenye mamlaka - ila Mungu Mwenyezi akawaumbua kweupe !! sasa hivi waliobakia hai wanajuta nafsi zao wengine wametangulia yaani ule msemo wa "mchimba kaburi...kaingia mwenyewe ukatimia.
Ni somo zuri sana hili.
 
..we may not know who did it.

..kuna watu walipotea Znz wakati wa utawala wa Karume na mpaka leo serikali haijasema nini kilitokea.

..hao jamaa walikamatwa na serikali na mpaka leo haijulikani walipo, na nini kiliwakuta.
It will be knowm, ultimately. Historia haipotei.
 
IMG-20211129-WA0034.jpg

Yupo motoni sasaiv anachapika
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Yaani umeongea ukweli mtupu ila ukweli ni kuwa TL hakujeruhiwa na awamu ya 5. TL na Serikali wote walizungukwa wakiwa kwenye malumbano ya Makinikia. Na possibly waliofanya ,mchezo huo kilikuwa ni kikundi ambachi si cha wanasiasa
 
..serikali imeshindwa kujitetea ilikuwaje walinzi wake wakaondolewa area D eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu.

..pia kitendo cha serikali ya awamu ya 5 kukataa ombi la kushirikisha wachunguzi wa kimataifa, na yenyewe kushindwa kuwabaini wahusika mpaka leo, kinaleta hisia kuwa waliohusika kumshambulia Lissu wako miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom