Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

Tatizo unakurupuka hutaki kuelewa! Tunazungumzia miaka ya 1998 mpaka miaka ya elfu mbili! Huyu unayemiwita mkombozi wako ndo alikuwa anawahadaa wananchi kuwa anawapigania akienda upande wa pili anachukua hela ! Ndo maana baada ya Acacia kubanwa akaanza ngonjera za mikataba na kushitakiwa MIGA! ni msaliti mkubwa huyo taahira wako!

..hiki ulichoandika hapa ni UONGO.

..Accacia au Barrick sio wajinga waanze kuhonga wanaharakati au wabunge wa upinzani wasiokuwa ktk chain ya kupitisha mikataba ya madini.

..Waliokuwa ktk nafasi ya kuhongwa na makampuni ya madini ni maafisa wa serikali kama kamishna wa madini/ nishati , katibu mkuu wa wizara, waziri,...watu waliokuwa na nafasi na madaraka ya kufanya maamuzi serikalini.

..Hiki unachokifanya ni jitihada za kumchafua Lissu ili kuhalalisha jaribio la kutaka kumuua. Watanzania sio wajinga, na hawawezi kudanganyika kwa uzushi usio na maana kama huu ulioandika.
 
Unafahamu maana ya mamlaka? Mwendazake alitolewa uhai na wadudu wadogo wasionekana kwa macho!! Kila mtu na mbabe wake. Lissu anadunda!
Mimi naeleza tu ukweli, na wala siungi mkono kushambuliwa lisu,,,, Jk alisemwa sana na cdm wakati wa utawala wake, lakini hakumaind,,, kuna watu wengine wana Big Ego,, lazima tujue namna ya kuishi na watu tofauti tofauti,,
Kule saud arabia kuna mwana wa mfalme,ni mkorofi sana,,anaua dissidents,,wamarekani na kimbele mbele chao kuhusu human rights,wakifika mbele ya MBS wanapoa na wanakuwa na ule urafiki wa kinafiki,,
Sababu wanajua jinsi ya kumhandle huyo jamaa ajili ya interest zao
 
Huyo Tundu Lisu wako alikuja kugombea na hakupata hata kura millioni 2.

Lofa ,zee la MIGA alidhani watanzania ni wajinga watachagua msaliti.
Lopoka uwezavyo tu lakini ukweli utabaki pale pale mhusika wa kutaka kumuua Lisu Ni Magufuli. Na mmeshindwa hata kufanya uchunguzi.
 
Hivi wewe taahira huyo tundu Lisu wako ana nini cha ajabu? Kwa taarifa yako wapuuzi wachache mbebaki kumshabikia hapa jamii forum!
Ila Cha ajabu wenye akili za kuchimba shimo na kufukia mavi mnayokunya zikawaongoza kumpiga risasi Tahahira LISU. Mnaambiwa kila siku DAMU za watu mbaya amsikii laana zitawaandama wauwaji mpaka vizazi vyenu. Manafikili Mungu ni bongo zozo?.
 
Tatizo unakurupuka hutaki kuelewa! Tunazungumzia miaka ya 1998 mpaka miaka ya elfu mbili! Huyu unayemiwita mkombozi wako ndo alikuwa anawahadaa wananchi kuwa anawapigania akienda upande wa pili anachukua hela ! Ndo maana baada ya Acacia kubanwa akaanza ngonjera za mikataba na kushitakiwa MIGA! ni msaliti mkubwa huyo taahira wako!
Wewe jamaa ni mpumbavu mno, jua hapa jujwaani hauongei na bibi zako! Hapa unaongea na watu very smart mzee, yaani akina Magufuli na Mkapa etc, wauze madini kwa bei za kutupa kwa kisingizio cha "uwekezaji", waanze uchimbaji, Lissu aanze kupiga kelele juu ya mikataba mibovu, wakati huo akina Magufuli na Mkapa wakimahughulikia kwa kumfungulia kesi lukuki, then leo useme yeye ndiye alikuwa msaliti dhidi ya wananchi wa Bulyanhulu, hiyo akili au matope?

Ulivyo mjinga unakomaa kumshambulia Lissu kuwa msaliti lakini hausemi ni nani alikuwa anawalinda wawekezaji hao kwa miaka yote mpaka huyo dikteta anakufa!

Nakukumbusha tu, Kuna wananchi zaidi ya 400 walihukumiwa kufungwa kutokana na sakata la Bulyanhulu na Lissu alikata rufaa dhidi ya hukumu hiyo na wote waliachiwa huru baada ya rufaa, (miongoni mwao alikuwepo afisa mstaafu wa jeshi la wananchi), huyo baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi na waliotumwa na MAGUFULI afisa huyo mstaafu alifunga safari kwenda NAIROBI kumjulia hali pamoja na uwezo wake mdogo kiuchumi!

Wewe mtetee Magufuli kwa mapenzi yako binafsi kwake, lakini usilazimishe aonekane "saint" wakati ni wazi kwamba alikuwa na roho ya kishetani, muuaji na mroho wanmadaraka ya kudumu, mzee alikuwa mpuuzi sana, wenye akili wanajua na watamkumbuka kwa uovu uliovuka mipaka nchini kwetu!
 
..hiki ulichoandika hapa ni UONGO.

..Accacia au Barrick sio wajinga waanze kuhonga wanaharakati au wabunge wa upinzani wasiokuwa ktk chain ya kupitisha mikataba ya madini.

..Waliokuwa ktk nafasi ya kuhongwa na makampuni ya madini ni maafisa wa serikali kama kamishna wa madini/ nishati , katibu mkuu wa wizara, waziri,...watu waliokuwa na nafasi na madaraka ya kufanya maamuzi serikalini.

..Hiki unachokifanya ni jitihada za kumchafua Lissu ili kuhalalisha jaribio la kutaka kumuua. Watanzania sio wajinga, na hawawezi kudanganyika kwa uzushi usio na maana kama huu ulioandika.
Very true!
 
Labda matahira yasio elewa mbele wala ndio walimpenda.
Nyerere&Mkapa na viburi vyao hawakuwa wahi kuua watu ambavyo Magufuli ameua,amerudisha kila kitu nyuma kuanzia uchumi mpaka demokrasia.
Alikuwa anaua wenzake kama nzi na mbu Leo hii yeye sijui yupo wapi.
Kwani Maguffuli amemuua nani?
 
..serikali imeshindwa kujitetea ilikuwaje walinzi wake wakaondolewa area D eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu.

..pia kitendo cha serikali ya awamu ya 5 kukataa ombi la kushirikisha wachunguzi wa kimataifa, na yenyewe kushindwa kuwabaini wahusika mpaka leo, kinaleta hisia kuwa waliohusika kumshambulia Lissu wako miongoni mwao.
Hutakiwi kujiuliza maswali mengi namna hii kuhusiana na swala hili na kwa mlengo kama huu usio sahihi, bali unatakiwa ujiulize kwa nini kuna mtu mahali fulani alibuni swala la MAKINIKIA!
 
Tundu antipasti lissu the president of united republic of tanzania anayeishi ubelgiji yulee aliyempora ushindi anaishi kuzimu huko Kijijini chato

Au ungeandija hivi " kitengo cha kumpiga lisasi tundu lisu kimesababisha awamu ya tano kutolewa madaraka "
Hahhaa kweli aisee maana Jiwe ndio badi tena Milele na milele
 
Kwa uchaguzi ipi mkuu, jiwe alipigwa za uso na wananchi nweye akili timamu mpaka akapora uchaguzi. Kumbuka alikiri mwenyewe kuiba kura
Uchaguzi uliishia kwenye kampeni. Kabla ya tar 28 octoba tulishaona mshindi TL kila kona ya Nchi.
 
Wewe kama ni muhaya ni mojawapo ya wahaya WAPUMBAVU sana. Kalyamagosi gaasho.
Tunajua tukio lile ulifurahia mno na ukapanga shereh baada ya mazishi! Ila ilikuja U-turn moja hatar wote mkasinyaa mazima 🤣🤣🤣🤣
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Legacy alioiacha itakayodumu hadi kiama ni hii hapa uliyoiandika
 
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
Unammalizaje mtu ambaye tayari amemalizwa na Mungu ?
 
58 Reactions
Reply
Back
Top Bottom