Kiu ya sigara ni mateso

Kiu ya sigara ni mateso

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
cigarette-smoke-embers-ash-70088.jpeg

Moshi mororo wa sigara

images.jpg

Stimu ya kuvuta sigara

pexels-photo-340589.jpeg

Inavyompendeza


Tukubali tusikubali ina ukweli utabaki pale pale. Wanaovuta sigara /msuba/ sigara kubwa au shisha wana mapenzi ya dhati sana!

Hata kama huna hela ukitaka kuvuta utavuta tu bila shida yoyote! Wanapendana sana hawa ndugu. Sigara inaunganisha watu sana na ni raha sana kuvuta kwa kupokezana.

Upendo wa sigara hutokea wapi?

Omba usiwe muuzaji wa sigara! Kiu ya sigara ni zaidi ya kiu ya maji ya kunywa.
 
Kuna wale wanaovuta na kubakiza kipisi (kupiga nyundo)AF anakiweka mfukoni,hawa jamaa wananukaga balaa sasa ukute kapiga nyundo AF kanyeshewe na mvua,,dadeq utadhani yeye ndio tumbaku yenyewe!!
 
Nakataa si kweli sigara ina kiu no ila ni kujiendekeza tu nilishawah kutumia ila nilipoamua sitaki niliacha kbs na skuona wala kiu yoyote mkuu
 
Back
Top Bottom