Kiu ya Magufuli kwa Watanzania

Magufuli Hana shida. Shida ni mfumo anaoingia nao madarakani

Hoja ya kitoto kabisa hii ..nikuulize na unijibu kwa kifupi na sahihi pia, Mama Tibaijuka alishindwa kuisadia sekta ya ardhi na kutatua migogoro yake lakini alivyokuja Lukuvi akaweza mpaka akaonekana ile sekta kaiweza ..sasa jibu, kama mfumo ni tatizo na kama mfumo ni ule ule iliwezekana vipi Lukuvi akayaweza ambayo yalionekana hayawezekani wakati wa mama Tibaijuka?
 
Nimeishasema Magufuli si mwanasiasa hivyo ataweza. Kuhusu swala la ufisadi Lowasa alijua wazi kuwa magufuli hana mchezo ndio maana kakimbilia ukawa ili kujaribu alinde mali zake na marafiki zake.

Hapa kwenye ufisadi aanze na Baba Riz na mdogo ake Maembe....
 
ajabu kabisa, waliyoko wizarani kwake kawashughulikia vipi na lini!? mbona kuna b. 520 zimelipwa wakandarasi hewa kwenye wizara yake, alichukua hatua gani!!!?

Mumesahau watumishi karibia 400 wa kwenye mizani kilichowatokea? Magufuli hana masihara katika kazi
 
Magufuli amekuwa kiongozi wakati haya yote yakitokea

attachment.php
 
Back
Top Bottom