Kitwanga amwendea JPM Israeli

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Ni Baada ya Kutimuliwa Kwenye Nafasi yake ya Uwaziri
 
Attachments

  • IMG-20160604-WA0013.jpg
    IMG-20160604-WA0013.jpg
    53.8 KB · Views: 63
Waandishi wa tz ni shida tupu sasa angeandika kitwanga aenda israeli asingeeleweka?

huu ni uchonganishi wa dhahiri.

usikute kaenda safari yake ya kawaida tu.
 
Hivi si hata Mbunge akitaka kusafiri nje lazima kibali toka kwa katibu kiongozi?
 
Waandishi wa tz ni shida tupu sasa angeandika kitwanga aenda israeli asingeeleweka?

huu ni uchonganishi wa dhahiri.

usikute kaenda safari yake ya kawaida tu.
Angeandika hivy unavyotaka habari isingevutia mtu kutaka kujua ninini hasa, inakubid uzoee lugha hyo tu maana ndo lugha ya kuuzia, akiweka nyingine hamtanunua magazeti
 
Mkuu atakua ameenda tembelea kiwanda chake cha viroba huko Israel, wala hajamwendea Magu.

Ila najiuliza tu mbona kama Magu keshafiata maana sijasikia habari ya Kitwanga na kibali toka kwa Katibu mkuu.
 
Angeandika hivy unavyotaka habari isingevutia mtu kutaka kujua ninini hasa, inakubid uzoee lugha hyo tu maana ndo lugha ya kuuzia, akiweka nyingine hamtanunua magazeti
kwa hiyo analazimika kumlisha maneno mbunge ili auze gazeti?
je taaluma yao inaruhusu hivyo?
hata hivyo lugha kama hizo zimezoeleka kwenye magazeti ya udaku, kumbe hata tanzania daima.
 
Back
Top Bottom