Eehhe bwana weee! Usikute kuna kamgao na baadhi ya Mods wanahusika. Maana hua wanatuchagulia kwa Matakwa yao na maslahi yao nini tuweke na nini tusiweke. Wanajiona wajanjaaa! Kumbe hii social Media bila sisi haiwezi kuwepo. Kimsingi kuna Mods humu JF ni kichefuchefu tu. Nina wasiwasi hata vielimu vyao ni Just past STD VII.