Mhaya kazini.Tangu enzi za Masaburi mpaka Masaburi akajenga shule kituo bado ni stori. Mjenge msijenge nishanunua gari hata Bukoba linafika......
Issue ni je ? kipo sehemu stahili !? Je wasafiri watafikaje !? Je Tunahitaji kuwa na kituo mbali kote huko !? Je patakuwa na uwezekano wa kuunganishwa na usafiri mwingine kama train na mabasi ya mwendo kasi !? Kama jibu ni hapana basi hiyo site haifai !!
Issue ni je ? kipo sehemu stahili !? Je wasafiri watafikaje !? Je Tunahitaji kuwa na kituo mbali kote huko !? Je patakuwa na uwezekano wa kuunganishwa na usafiri mwingine kama train na mabasi ya mwendo kasi !? Kama jibu ni hapana basi hiyo site haifai !!
Haaaahaaa ni naomba lift Mkuu,naishiaga KemondoTangu enzi za Masaburi mpaka Masaburi akajenga shule kituo bado ni stori. Mjenge msijenge nishanunua gari hata Bukoba linafika......
Kile cha jwetu wameiachia manispaa ila hapo dar ni tamisemi inayosimamia. Mie naishia kyetema mkuu usinisahauHaaaahaaa ni naomba lift Mkuu,naishiaga Kemondo
Korogwe kimejengwa kituo kizuri kwa pesa za mradi wa kuimarisha halmashauri,moshi wanajenga mikoa mingine nimesahau.Mikoani wanaambiwa watajijua stand wajenge wenyewe kwa pesa zao lakini dar vituo vya mabasi vinasimamiwa na wizara husika, mbona ubaguzi kiasi hiki? huko mikoani wapate wapi pesa angali hata vyanzo vya mapato mmeamua kuvichukua nyie serikali kuu? why dar?
mbezi sehemu gani?
Watu kama nyie sijui mnawazaje !? You dont care about others !? Thé issue is How can normal people arrive there early in thé Morning !?Hatuja kujengea wewe na Familia yako bali ni kwa wana Dar wote!
Kwa kuwa sasa imekamilika na karibu inaanza kutumika, tupia kapicha linganishi ili kuweka muhuri wa bandiko lako.Hivi ndivyo kitakavyokuwa kikikamilika.
![]()
Hapa kazi Tu!
Usisahau wana DAR ni mkusanyiko wa familia kadhaa... Unapoisema vibaya familia moja, umewasema wana Dar..Hatuja kujengea wewe na Familia yako bali ni kwa wana Dar wote!