Nasikitika sana watanzania tumelogwa hata tunashindwa kuchukua hatua, kituo hiki tunashikwa 200/= lakini ndani hakuna vyoo wala sehemu ya kusubiria mvua au jua mfano leo asbh mvua yote ile ilimalizika ktk miili ya abiria, kumbe kama plan zilikuwa dhaifu kwanini mliwahi kubomoa? Na kwanini tuendelee kushikwa 200/= wakati hakuna huduma yeyote ya kijamii?