Kituo gani kizuri cha kurudia mtihani Mwanza

chaz beezz

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
217
841
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu,

Naomba kufahamu kituo/Vituo vya kurudia mtihani wa form four, hapa MWANZA CC
 
Mkuu jiongeze nenda Mkolani secondary school wanatoa masomo ya mchana na wengi sasa wapo university……utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom