Kituo cha Redio Uhuru Fm kinamilikiwa na nani?

Kituo cha Redio Uhuru Fm kinamilikiwa na nani?

Sijawahi kusikiliza hicho kiradio cha chama, na sidhani km wanao wasikilizaji wengi maana hata lile gazeti lao la Uhuru halisomeki sana, likiuza sana ni nakala 100 kwa siku!
 
Najaribu kujiuliza hii mada niliisikia radio gani sijui watangazaji wakihoji umiliki wa hiki chombo. . . . .Ni watu hao hao au wengine wameona kuna shida???!!!!

Planned coincidence??!!!
 
et televisheni ya taifa shirika ya utangazaji la taifa
mfyuuuuu uozo hawajui maadilivya kazi zao waige mifano ya bbc cctv
 
Radio uhuru ni ya magamba, mkurugenzi ni mikidad mahmoud cjui kama kaacha..hata hivi Ipo radio 5 ya arusha imejitanua dar,moshi lushoto moro dodoma nk..mmiliki nk EL....radio.uhuru kapata mpinzani..itv,azam wanatupa habari zilizo na ukweli.watu wa kigoma tumeni radi ipige vimtambo vya tbc kodi zetu zinatumika vibaya kwa faida ya magamba
 
Magamba yanachosha
 
Back
Top Bottom